Birinus (600 hivi – 649) alikuwa mmonaki wa Kikolumbani aliyefanywa askofu wa kwanza wa Dorchester[1].

Mt. Birinus katika dirisha la kioo cha rangi huko Dorchester Abbey.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na kuitwa "mtume wa Wasaksoni wa Magharibi" kutokana na kuingiza ufalme wa Wessex katika Ukristo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Desemba[2] au 4 Septemba.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Powicke, 1961, page 219
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • Ford, David Nash (2001). "St. Birinus (c. 600-649)". Royal Berkshire History. Nash Ford Publishing. Iliwekwa mnamo 16 June 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • Kimball, Charles (1907). "St. Birinus (Berin)". Catholic Encyclopaedia. New Advent. Iliwekwa mnamo 16 June 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "St. Birinus". Catholic Online: Saints and Angels. Catholic Online. 2010. Iliwekwa mnamo 1 September 2007.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "Birinus". Patron Saints Index. Iliwekwa mnamo 1 September 2007.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.