Bujumbura Mjini
Bujumbura Mjini (kwa Kifaransa: Bujumbura Mairie) ni kati ya wilaya 18 za Burundi. Inaundwa na mji mkuu wa nchi, Bujumbura. Wakazi ni 500,000 hivi.
Bujumbura Mairie Province | |
Nchi | Burundi |
---|---|
Eneo | |
- Jumla | 86.52 km² |
Idadi ya wakazi (2008 census) | |
- Wakazi kwa ujumla | 497,166 |
Historia
haririIliundwa kwa kugawa Mkoa wa Bujumbura kati ya Bujumbura Mjini na Bujumbura Vijijini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- Map of Bujumbura in 2009, showing 13 communes
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bujumbura Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
3°22′44″S 29°21′39″E / 3.37889°S 29.36083°E
Mikoa ya Burundi | |
---|---|
Bubanza • Bujumbura Mjini • Bujumbura Vijijini • Bururi • Cankuzo • Cibitoke • Gitega • Karuzi • Kayanza • Kirundo • Makamba • Muramvya • Muyinga • Mwaro • Ngozi • Rumonge • Rutana • Ruyigi | |
+/- |