Cesidio Giacomantonio
Cesidio Giacomantonio (Fossa, Italia, 30 Agosti 1873 - Hengzhou, 4 Julai 1900) alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wareformati aliyefia dini China alipokuwa mmisionari kwa kuchomwa moto akiwa hai ndani ya blanketi lililowaka wakati wa Uasi wa Waboksa.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 119.
Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila mwaka tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 4 Julai[1].
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |