Ciro Immobile
Ciro Immobile (Matamshi ya Italia: [ˈtʃiːro imˈmɔːbile]; alizaliwa 20 Februari 1990) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Lazio na timu ya taifa ya Italia.
Ciro Immobile
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Italia |
Nchi anayoitumikia | Italia |
Jina katika lugha mama | Ciro Immobile |
Jina halisi | Ciro |
Jina la familia | Immobile |
Pseudonym | Il bomber |
Tarehe ya kuzaliwa | 20 Februari 1990 |
Mahali alipozaliwa | Torre Annunziata |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiitalia |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Makazi | Roma |
Muda wa kazi | 2009 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Beşiktaş J.K. |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 17 |
Ameshiriki | 2014 FIFA World Cup, UEFA Euro 2016, UEFA Euro 2020 |
Ligi | Bundesliga |
Tuzo iliyopokelewa | Knight of the Order of Merit of the Italian Republic |
Alianza kazi yake huko Sorrento. Mnamo 2009, alinunuliwa na Juventus, kisha akatolewa kwa mkopo kwenda Genoa mwaka 2012. Baada ya msimu mmoja katika klabu, alihamia kwa wapinzani wa Juventus FC Torino. Huko Torino, alishinda tuzo ya Capocannoniere kama mfungaji bora katika Serie A, ambapo alifunga mabao 22 katika michezo 33. Baada ya msimu ule huko Torino, aliuzwa kwenda klabu ya Ujerumani Borussia Dortmund kwa ada ya € milioni 18.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ciro Immobile kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |