Danieli wa Padua
Danieli wa Padua (alifariki 168) alikuwa shemasi mwenye asili ya Uyahudi ambaye alimsaidia katika uinjilishaji askofu Prosdosimi wa Padua, Italia na hatimaye alifia dini yake.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
hariri- Saint of the Day, January 3: Daniel of Padua Ilihifadhiwa 28 Novemba 2010 kwenye Wayback Machine. at SaintPatrickDC.org
- Catholic Online: St. Daniel
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |