Dimitri wa Thesalonike

(Elekezwa kutoka Demetrio wa Thesalonike)

Dimitri wa Thesalonike (kwa Kigiriki Άγιος Δημήτριος της Θεσσαλονίκης; alifariki 306 hivi) alikuwa Mkristo wa mkoa wa Panonia (leo nchini Kroatia) ambaye alifia dini yake katika dhuluma ya Kaisari Dioklesyano.

Picha takatifu ya karne ya 15 ya Mt. Dimitri Solunski, (Russian State Museum, Saint Petersburg, Urusi).

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe mbalimbali; kwa Wakatoliki ni tarehe 9 Aprili[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.