Dimitri wa Thesalonike

Dimitri wa Thesalonike (kwa Kigiriki Άγιος Δημήτριος της Θεσσαλονίκης; alifariki 306 hivi) alikuwa Mkristo wa Sirmium (leo nchini Serbia) ambaye alifia dini yake katika dhuluma ya Kaisari Dioklesyano.

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe mbalimbali; kwa Wakatoliki ni tarehe 9 Aprili[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.