Elsavado ni nchi ndogo kuliko zote za Amerika ya Kati, lakini yenye msongamano mkubwa zaidi, ikiwa na wakazi 6,290,420 katika km2 21,040.

República de El Salvador
Republic of El Salvador
Bendera ya El Salvador Nembo ya El Salvador
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Dios, Unión, Libertad
(Kihispania: Mungu, Umoja, Uhuru)
Wimbo wa taifa: Saludemos la Patria orgullosos
Tusalimie nchi yetu kwa usodawi
Lokeshen ya El Salvador
Mji mkuu San Salvador
13°40′ N 89°10′ W
Mji mkubwa nchini San Salvador
Lugha rasmi Kihispania
Serikali Jamhuri
Claudia Rodríguez de Guevara
Uhuru
kutoka Hispania
kutoka Shirikisho la Amerika ya Kati

15 Septemba 1821
1842
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
21,040 km² (ya 153)
100%
Idadi ya watu
 - Julai 2013 kadirio
 - 2009 sensa
 - Msongamano wa watu
 
6,290,420 (ya 99)
5,744,113
341.5/km² (ya 47)
Fedha US dollar (USD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-6)
(UTC)
Intaneti TLD .sv
Kodi ya simu +503

-


Ramani ya El Salvador

Imepakana na Guatemala, Honduras na bahari ya Pasifiki.

Jina la nchi kwa Kihispania linamaanisha "Mwokozi" kwa heshima ya Yesu Kristo, ambaye wananchi wengi ni wafuasi wake katika Kanisa Katoliki (47%) au katika madhehebu mbalimbali ya Uprotestanti (33%).

Wananchi wengi ni machotara Wazungu-Waindio (86%) au Wazungu (12%) na wanazungumza Kihispania, ambacho ndicho lugha rasmi na ya kawaida.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Elsavado kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.