Orodha ya nchi kufuatana na wakazi

Hii ni orodha ya nchi huru zote, maeneo ya kujitegemea na maeneo mengine yanayotambuliwa na UM na pia Taiwan kufuatana na idadi ya wakazi.

World Population.svg

Namba zinazotajwa zimenakiliwa kutoka (en:wikipedia List of countries by population (United Nations)) mnamo Oktoba 2017 bila kuhakikisha kama takwimu ni sawa.

Orodha ya nchi na maeneo kufuatana na idadi ya wakaziEdit

Cheo Nchi / Eneo Wakazi Marejeo
Dunia 7,550,262,101 [1]
1 Jamhuri ya Watu wa China (Bara) 1,409,517,397 [1]
2 Uhindi 1,339,180,127
3 Marekani 324,459,463
4 Indonesia 263,991,379
5 Brazil 209,288,278
6 Pakistan 197,015,955
7 Nigeria 190,886,311
8 Bangladesh 164,669,751
9 Urusi 143,989,754
10 Meksiko 129,163,276
11 Japan 127,484,450
12 Ethiopia 104,957,438
13 Ufilipino 104,918,090
14 Misri 97,553,151
15 Vietnam 95,540,800
16 Ujerumani 82,114,224
17 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 81,339,988
18 Uajemi 81,162,788
19 Uturuki 80,745,020
20 Uthai 69,037,513
21 Ufalme wa Muungano (Uingereza) 66,181,585
22 Ufaransa 64,979,548 [2]
23 Italia 59,359,900
24 Tanzania 57,310,019 [3]
25 Afrika Kusini 56,717,156
26 Myanmar 53,370,609
27 Korea ya Kusini 50,982,212
28 Kenya 49,699,862
29 Kolumbia 49,065,615
30 Hispania 46,354,321 [4]
31 Argentina 44,271,041
32 Ukraine 44,222,947 [5]
33 Uganda 42,862,958
34 Algeria 41,318,142
35 Sudan 40,533,330
36 Iraq 38,274,618
37 Poland 38,170,712
38 Kanada 36,624,199
39 Moroko 35,739,580
40 Afghanistan 35,530,081
41 Saudia 32,938,213
42 Peru 32,165,485
43 Venezuela 31,977,065
44 Uzbekistan 31,910,641
45 Malaysia 31,624,264 [6]
46 Angola 31,624,264
47 Msumbiji 29,668,834
48 Nepal 29,304,998
49 Ghana 28,833,629
50 Yemeni 28,250,420
51 Madagaska 25,570,895
52 Korea ya Kaskazini 25,490,965
53 Australia 24,450,561 [7]
54 Côte d'Ivoire 24,294,750
55 Kamerun 24,053,727
56 Jamhuri ya China (Taiwan) 23,626,456
57 Niger 21,477,348
58 Sri Lanka 20,876,917
59 Romania 19,679,306
60 Burkina Faso 19,193,382
61 Malawi 18,622,104
62 Mali 18,541,980
63 Shamu 18,269,868
64 Kazakhstan 18,204,499
65 Chile 18,054,726
66 Zambia 17,094,130
67 Uholanzi 17,035,938
68 Guatemala 16,913,503
69 Ekuador 16,624,858
70 Zimbabwe 16,529,904
71 Kambodia 16,005,373
72 Senegal 15,850,567
73 Chad 14,899,994
74 Somalia 14,742,523
75 Guinea 12,717,176
76 Sudan Kusini 12,575,714
77 Rwanda 12,208,407
78 Tunisia 11,532,127
79 Kuba 11,484,636
80 Ubelgiji 11,429,336
81 Benin 11,175,692
82 Ugiriki 11,120,000
83 Bolivia 11,051,600
84 Haiti 10,981,229
85 Burundi 10,864,245
86 Jamhuri ya Dominika 10,766,998
87 Uceki 10,618,303
88 Ureno 10,329,506
89 Uswidi 9,910,701 [8]
90 Azerbaijan 9,827,589 [9]
91 Hungaria 9,721,559
92 Yordani 9,702,353
93 Belarus 9,468,338
94 Falme za Kiarabu 9,400,145
95 Honduras 9,265,067
96 Tajikistan 8,921,343
97 Serbia 8,790,574 [10]
98 Austria 8,735,453
99 Uswisi 8,476,005
100 Israel 8,321,570
101 Papua Guinea Mpya 8,251,162
102 Togo 7,797,694
103 Sierra Leone 7,557,212
104 Hong Kong (China) 7,364,883
105 Bulgaria 7,084,571
106 Laos 6,858,160
107 Paraguay 6,811,297
108 El Salvador 6,377,853
109 Libya 6,374,616
110 Nikaragua 6,217,581
111 Lebanon 6,082,357
112 Kirgizia 6,045,117
113 Turkmenistan 5,758,075
114 Denmark 5,431,000
115 Singapur 5,708,844
116 Ufini 5,523,231 [11]
117 Slovakia 5,447,662
118 Norwei 5,305,383 [12]
119 Jamhuri ya Kongo 5,260,750
120 Eritrea 5,068,831
121 Palestina 4,920,724 [13]
122 Costa Rica 4,905,769
123 Eire 4,761,657
124 Liberia 4,731,906
125 New Zealand 4,705,818
126 Jamhuri ya Afrika ya Kati 4,659,080
127 Oman 4,636,262
128 Mauritania 4,420,184
129 Kroatia 4,189,353
130 Kuwait 4,136,528
131 Panama 4,098,587
132 Moldova 4,051,212 [14]
133 Georgia 3,912,061 [15]
134 Puerto Rico (eneo la Marekani) 3,663,131
135 Bosnia na Herzegovina 3,507,017
136 Uruguay 3,456,750
137 Mongolia 3,075,647
138 Armenia 2,930,450
139 Albania 2,930,187
140 Jamaica 2,890,299
141 Lithuania 2,890,297
142 Qatar 2,639,211
143 Namibia 2,533,794
144 Botswana 2,291,661
145 Lesotho 2,233,339
146 Gambia 2,100,568
147 Masedonia Kaskazini 2,083,160
148 Slovenia 2,079,976
149 Gabon 2,025,137
150 Latvia 1,949,670
151 Guinea-Bisau 1,861,283
152 Bahrain 1,492,584
153 Trinidad na Tobago 1,369,125
154 Eswatini 1,367,254
155 Estonia 1,309,632
156 Timor ya Mashariki 1,296,311
157 Guinea ya Ikweta 1,267,689
158 Morisi 1,265,138 [16]
159 Kupro 1,179,551 [17]
160 Jibuti 956,985
161 Fiji 905,502
162 Réunion (eneo la ng'ambo la Ufaransa) 876,562
163 Komori 813,912
164 Bhutan 807,610
165 Guyana 777,859
166 Montenegro 628,960
167 Macau (Uchina) 622,567
168 Visiwa vya Solomon 611,343
169 Luxemburg 583,455
170 Surinam 563,402
171 Sahara ya Magharibi 552,628
172 Cabo Verde 546,388
173 Guadeloupe (eneo la ng'ambo la Ufaransa) 449,568 [18]
174 Maldivi 436,330
175 Malta 430,835
176 Brunei 428,697
177 Bahama 395,361
178 Martinique (eneo la ng'ambo la Ufaransa) 384,896
179 Belize 374,681
180 Iceland 335,025
181 Barbados 285,719
182 Polynesia ya kifaransa (eneo la ng'ambo la Ufaransa) 283,007
183 Guyana ya Kifaransa (eneo la ng'ambo la Ufaransa) 282,731
184 Kaledonia Mpya (eneo la ng'ambo la Ufaransa) 276,255
185 Vanuatu 276,244
186 Mayotte (eneo la ng'ambo la Ufaransa) 253,045
187 São Tomé na Príncipe 204,327
188 Samoa 196,440
189 Saint Lucia 178,844
190
Visiwa vya mfereji wa Kiingereza (Eneo chini ya taji la Uingereza)
165,314 [19]
191 Guam (eneo la ng'ambo la Marekani) 164,229
192 Curaçao (Uholanzi) 160,539
193 Kiribati 116,398
194 Saint Vincent na visiwa vya Grenadini 109,897
195 Tonga 108,020
196 Grenada 107,825
197 Shirikisho la Mikronesia 105,544
198 Aruba (Uholanzi) 105,264
199 Visiwa vya Virgin vya Marekani (eneo la ng'ambo la Marekani) 104,901
200 Antigua na Barbuda 102,012
201 Shelisheli 94,737
202 Isle of Man (Eneo chini ya taji la Uingereza) 84,287
203 Andorra 76,965
204 Dominika 73,925
205 Cayman (Eneo la ng’ambo la Uingereza) 61,559
206 Bermuda (Eneo la ng'ambo la Uingereza) 61,349
207 Greenland (Denmark) 56,480
208 Samoa ya Marekani (eneo la ng'ambo la Marekani) 55,641
209 Saint Kitts na Nevis 55,345
210 Visiwa vya Mariana ya Kaskazini (eneo la ng'ambo la Marekani) 55,144
211 Visiwa vya Marshall 53,127
212 Faroe (Denmark) 49,290
213 Sint Maarten (Uholanzi) 40,120
214 Monako 38,695
215 Liechtenstein 37,922
216 Visiwa vya Turks na Caicos (Eneo la ng’ambo la Uingereza) 35,446
217 Gibraltar (Eneo la ng’ambo la Uingereza) 34,571
218 San Marino 33,400
219 Visiwa vya Virgin vya Uingereza (Eneo la ng’ambo la Uingereza) 31,196
220 Antili za Kiholanzi (Uholanzi) 25,398
221 Palau 21,729
222 Visiwa vya Cook (NZ) 17,380
223 Anguilla (Eneo la ng’ambo la Uingereza) 14,909
224 Wallis na Futuna (Ufaransa) 11,773
225 Nauru 11,359
226 Tuvalu 11,192
227 Saint-Pierre na Miquelon (Ufaransa) 6,320
228 Montserrat (Eneo la ng’ambo la Uingereza) 5,177
229 Saint Helena (Eneo la ng’ambo la Uingereza) 4,049 [20]
230 Visiwa vya Falkland (Eneo la ng’ambo la Uingereza) 2,910
231 Niue (NZ) 1,618
232 Tokelau (NZ) 1,300
233 Vatikano 792

RamaniEdit

MarejeoEdit

 1. Isipokuwa Taiwan, Hong Kong na Macau.
 2. Ufaransa bara tu
 3. Pamoja na Zanzibar
 4. Pamoja na Kanari, Ceuta na Melilla
 5. Pamoja na Krim
 6. Pamoja na Sabah na Sarawak
 7. Pamoja na visiwa vya Christmas Island, Cocos (Keeling) Islands na Norfolk Island
 8. Pamoja na visiwa vya Aland
 9. Pamoja na Nagorno-Karabakh
 10. Pamoja na Kosovo.
 11. Pamoja na Åland Islands
 12. Pamoja na visiwa vya Svalbard na Jan Mayen Island
 13. Pamoja na Yerusalemu Mashariki
 14. Pamoja na Transnistria
 15. Pamoja na Abkhazia na Ossetia Kusini
 16. Pamoja na visiwa vya Agalega, Rodrigues na Cargados Carajos
 17. Pamoja na Kupro Kaskazini
 18. Pamoja na visiwa vya St. Barthélemy na Saint Martin
 19. Guernsey na Jersey
 20. Pamoja na visiwa vya Ascension na Tristan da Cunha

Tazama piaEdit

Viungo vya NjeEdit