Ermengild

Ermengild (pia: Hermenegildo, kutoka Kigoti Airmana-gild; alifariki Hispalis, Hispania, 585 hivi) alikuwa mwanamfalme aliyeuawa kwa shoka kwa ajili ya imani ya Kikatoliki kwa amri ya baba yake, mfuasi wa Ario[1][2].

Ushindi wa Mt. Ermengild kadiri ya Francisco Herrera the Younger (1654).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 13 Aprili[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Markus, Robert Austin (9 October 1997). Gregory the Great and His World. Cambridge University Press, 165. ISBN 978-0-521-58608-5. 
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/31850
  3. Martyrologium Romanum

VyanzoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.