Etbini
Etbini (pia: Ethbin, Yban, Iboan, Diboan, Diboen, Iben, Ibe, Abibon, Languis, Langui, Idunet, Ivinec; 517 hivi - 600 hivi) alikuwa shemasi kutoka ukoo maarufu ambaye alikwenda kuishi kama mmonaki chini ya Vinvaleo.
Baada ya monasteri kusambaratishwa, akawa mkaapweke hadi kifo chake kwanza kwao Bretagne, Ufaransa, halafu kwa miaka 20 huko Kildare, Ireland [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Albert Le Grand, Les vies des saints de la Bretagne Armorique : ensemble un ample catalogue chronologique et historique des evesques d'icelle... et le catalogue de la pluspart des abbés, blazons de leurs armes et autres curieuses recherches..., 5e édition, 1901, revue et corrigée par Guy Autret. "La vie de Saint Ethbin" Pages 510-513. books.google.com/books?id=vycJoXdW RIC&pg=PA510
- Sylvette Denefle, Hagiographie sans texte : le culte de saint Diboan en Cornouaille armoricaine, in « Les Saints et les stars : le texte hagiographique dans la culture populaire » par Jean Claude Schmitt, Éditions Beauchesne, 1983, p. 135-143
- Butler, Albin. The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints, Volume 10. Pages 418-419. books.google.com/books?id= JJjAAAAMAAJ&lpg=PA418
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |