Eutimi wa Sardi (Ouzara, leo nchini Uturuki, 751 hivi - Bitinia, 831) alikuwa mmonaki, halafu askofu mkuu wa mji huo ambaye, baada ya kudhulumiwa muda mrefu, aliuawa kwa sababu ya kutetea heshima kwa picha takatifu kinyume cha serikali ya Dola la Roma Mashariki[1].

Mchoro mdogo kuhusu kifodini chake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Desemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

      .

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.