Faty Papy (Bujumbura, 19 Januari 1990 - 25 Aprili 2019) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Burundi aliyechezea klabu maarufu ya Bidvest Wits nchini Afrika Kusini na pia alichezea timu ya taifa ya Burundi.

Faty Papy
Maelezo binafsi
Jina kamili Faty Papy
Tarehe ya kuzaliwa 19 Januari 1990 (1990-01-19) (umri 34)
Mahala pa kuzaliwa    Bujumbura, Burundi
Nafasi anayochezea Katikati
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Bidvest Wits
Namba 17
Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
2009 Bidvest Wits
Timu ya taifa
2008 Burundi

* Magoli alioshinda

Kucheza katika klabu yake ya Burundi hariri

Faty Papy alianza kucheza mpira wa miguu nchini Burundi katika mji mkuu wa Bujumbura katika klabu ya Interstar iliyo mashuhuri Burundi. Kabla ya hapo alikua akiichezea klabu ya vijana ya Interstar, mwaka 2007 kijana huyo akaweka mkataba wa kujiunga na timu kubwa ya Interstar kubwa na kuwa mchezaji wa kulipwa na kushiriki na timu hiyo katika mechi kubwa.

Kuuzwa kwake Uturuki hariri

Katika mwaka 2008 mwezi Desemba Bwana Faty Papy alinunuliwa na klabu ya Trabzonspor ya Uturuki kutoka kwenye klabu ya Interstar kwa kiwango cha euro 20,000.

Kitaifa hariri

Aliichezea Timu ya taifa ya Burundi ya sasa, mechi yake ya kwanza kabisa ilikua tarehe 1 Juni 2008 dhidi ya timu ya taifa ya Shelisheli.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Faty Papy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.