Fintano wa Clonenagh

Fintano wa Clonenagh (Leinster, Ireland, 526 hivi[1] [2] - Cluain Ednech, Ireland, 603) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Kiselti, mwanafunzi wa Kolumba wa Tirda-Gals.

Alishika maisha magumu sana[3][4] hadi kifo chake bila kujali hoja za kumpinga[5].

Baada ya kukaa upwekeni muda mrefu alipata wafuasi wengi[6][7] akaanzisha monasteri alipofariki akiwa abati wake [8].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Februari[9].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. John Lanigan (1829). An Ecclesiastical History of Ireland, From the First Introduction of Christianity to the Beginning of the Thirteenth Century. Printed for J. Cumming. uk. 227.
  2. Berry, Albert. “Saint Fionntan”. Lives of Irish Saints. CatholicSaints.Info. 27 February 2014
  3. "St. Fintan of Clonenagh", Catholic Ireland
  4. Baring-Gould, Sabine. (1914). The Lives of the Saints, Volume 2. Edinburgh: John Grant. p. 324. "The rules he gave his monks were very strict; they abstained from all kind of meat, butter and milk; living only upon vegetables."
  5. Jones, Kathleen. (2002). Who are the Celtic Saints?. Canterbury Press. p. 38. ISBN|978-1853114939
  6. "History of Bangor Abbey", Parish of Bangor Abbey Archived 6 Machi 2015 at the Wayback Machine
  7. Grattan-Flood, William (1909). "Sts. Fintan.". Catholic Encyclopedia. Vol. 6.. New York: Robert Appleton Company. http://www.newadvent.org/cathen/06078a.htm. Retrieved 13 May 2013.
  8. http://www.santiebeati.it/dettaglio/41380
  9. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Millar, Seamus. "St Fintan of Clonenagh." Carloviana: Journal of the Old Carlow Society 1:22 (1973): 10-12.
  • Sperber, Ingrid. "'Late and not of special distinction'? The misunderstood Life of St Fintan of Clonenagh". In Ossory, Laois and Leinster 1 (2004): pp. 28–49. ISSN|1649-4938.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.