Jimbo la Gambela

(Elekezwa kutoka Gambela)

Jimbo la Gambela (kwa Kiamhari: ጋምቤላ) ni moja ya majimbo 11 ya kujitawala ya Ethiopia.

Baro River, Gambela



ጋምቤላ ሕዝቦች ክልል
Jimbo la Gambela

Bendera
Mahali paጋምቤላ ሕዝቦች ክልል Jimbo la Gambela
Mahali paጋምቤላ ሕዝቦች ክልል
Jimbo la Gambela
Mahali pa Jimbo la Gambela katika Ethiopia
Nchi Bendera ya Ethiopia Ethiopia
Mji mkuu Gambela
Eneo
 - Jumla 25,802 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - Wakazi kwa ujumla 247.000

Idadi ya wakazi wake ni takriban 247.000.

Makao makuu ni Gambela.

Tazama pia hariri


 
Majimbo ya Ethiopia
 
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Gambela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.