Huíla

(Elekezwa kutoka Huíla (mkoa))

Mkoa wa Huíla ni kati ya mikoa nane ya Angola lenye wakazi 885.100 kwenye eneo la 75.002 km². Makao makuu ya mkoa yapo Lubango.

Huíla
Mahali pa Mkoa wa Huíla katika Angola
Mahali pa Mkoa wa Huíla katika Angola
Nchi Angola
Mji mkuu Lubango
Eneo
 - Mkoa 75,002 km²
Idadi ya wakazi
 - 885.100

Tazama piaEdit


 
Mikoa ya Angola
 
Bengo | Benguela | Bié | Cuando Cubango | Cuanza Kaskazini | Cuanza Kusini | Cunene | Huambo | Huíla | Kabinda | Luanda | Lunda Kaskazini | Lunda Kusini | Malanje | Moxico | Namibe | Uíge | Zaire
  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Huíla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.