Eneo bunge la Nyaribari Chache
Eneo bunge la Nyaribari Chache ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo tisa ya Kaunti ya Kisii.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririLilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1988.
Wabunge
haririMwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Andrew John Omanga | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Simeon Nyachae | KANU | |
1997 | Simeon Nyachae | KANU | |
2002 | Simeon Nyachae | Ford-People | |
2007 | Robert Onsare Monda | NARC |
Wodi
haririWodi | ||
Wodi | Wapiga Kura waliojiandikisha | Utawala wa Eneo |
---|---|---|
Bobaracho | 5,010 | Munisipali ya Kisii |
Central | 7,049 | Munisipali ya Kisii |
Ibeno / Keumbu | 19,383 | Gusii county |
Kanga Hill | 2,862 | Munisipali ya Kisii |
Kegati | 3,798 | Gusii county |
Kiogoro | 6,226 | Gusii county |
Nyansira | 1,285 | Keroka (Mji) |
Nyaura | 5,801 | Munisipali ya Kisii |
Jumla | 51,414 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Nyaribari Chache kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |