Eneo bunge la Matuga
Eneo bunge la Matuga ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana pwani na ni moja kati ya majimbo manne ya uchaguzi katika Kaunti ya Kwale.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Boy Juma Boy | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Boy Juma Boy | KANU | |
1997 | Suleiman Mwarunga Kamolleh | KANU | |
2002 | Chirau Ali Mwakwere | NARC | |
2007 | Chirau Ali Mwakwere | PNU |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Golini | 12,166 |
Lukore | 3,150 |
Majimbo | 7,348 |
Mangawani | 8,947 |
Mbuguni | 5,130 |
Mkongani | 15,734 |
Mwaluphamba | 19,924 |
Mwaluvanga | 3,401 |
Ngombeni | 18,773 |
Shimba Hills Nat. Res. | 162 |
Tiwi | 19,178 |
Tsimba | 12,863 |
Waa | 18,714 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wards | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
Baraza la Mtaa |
---|---|---|
Golini/Vyongwani | 1,448 | Kwale (Mji) |
Kubo South | 5,396 | Kwale county |
Kwale | 2,347 | Kwale (Mji) |
Mazumalume | 1,430 | Kwale (Mji) |
Mbuguni / Ng'ombeni | 5,075 | Kwale county |
Mkongani / Mangawani | 6,247 | Kwale county |
Mwaluphamba | 5,755 | Kwale county |
Mwamgunga | 1,051 | Kwale (Mji) |
Tiwi | 6,485 | Kwale county |
Vuga | 1,545 | Kwale (Mji) |
Waa | 5,383 | Kwale county |
Ziwani | 902 | Kwale (Mji) |
Jumla | 43,064 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Matuga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |