Kerubi
Kerubi (kutoka Kiebrania כְּרוּב, kərūv, wingi כְּרוּבִים, kərūvîm[1]) ni kati ya viumbe visivyoonekana wanaotajwa na Biblia. Ndiyo sababu wakaja kujumlishwa kati ya malaika[2], ingawa Agano la Kale halisemi hivi wazi[3].
Asili yake ni katika visasili vya historia ya awali, hasa vya Mesopotamia.
Ingawa Amri kumi za Mungu kwa Musa zimekataza sanamu (Kut 20), kurasa chache mbele (Kut 25) Mungu alimuagiza azitengeneze mbili za makerubi na kuziunganisha na kifuniko cha sanduku la Agano ambamo hizo amri zilitunzwa. Pia sura zao zipatikane katika mapazia ya kandokando.
Tanbihi
hariri- ↑ "cherub". Random House Webster's Unabridged Dictionary.
- ↑ Kosior, Wojciech. "The Angel in the Hebrew Bible from the Statistic and Hermeneutic Perspectives. Some Remarks on the Interpolation Theory". The Polish Journal of Biblical Research. 12 (1 (23)): 56–57. Iliwekwa mnamo 1 Desemba 2013.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Wood, Alice. Of Wings and Wheels: A Synthetic Study of the Biblical Cherubim. uk. 1. ISBN 978-3-11-020528-2.
Marejeo
hariri- Yaniv, Bracha, "The Cherubim on Torah Ark Valances", Jewish Art Department, Bar-Ilan University, published in Assaph: Studies in Art History, Vol. 4, 1999.
- R. Gilboa, "Cherubim: An Inquiry into an Enigma", Biblische Notizen, 82, 1996, 59–75. The article looks at the yet unknown nature of the Temple's Cherubim, through linguistic investigation, fauna probabilities and artistic presentations in the ancient Biblical period.
Viungo vya nje
hariri- Jewish Encyclopedia: Cherub
- Catholic Encyclopedia: Cherubim
- The Cherubim - some pointers and problems by Rabbi Dr Raymond Apple
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kerubi kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |