Komgani
Komgani (pia: Comgán, Cowan, Coan, Congan; karne ya 7 - 734 hivi) alikuwa abati mwanzilishi wa Lochalsh, nchini Uskoti, alipokimbilia kutoka Ireland pamoja na dada yake Kentigerna, wapwa wake na wamisionari kadhaa baada ya kushindwa na kujeruhiwa vitani [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Leo XIII tarehe 11 Julai 1898 [2]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/92970
- ↑ Index ac status causarum (1999), pp. 403 e 597.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969. (Kiitalia)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |