Konvoyone (pia: Conwoion, Conwoyon, Konvoion; Comblessac, 788 hivi - Saint-Maixent de Plélan, leo nchini Ufaransa, 5 Januari 868) alikuwa mmonaki aliyeanzisha monasteri ya Redon huko Bretagne, ambamo, chini ya uongozi wake na kanuni ya Mt. Benedikto, wamonaki walistawi kiroho. Baada ya hiyo kuteketezwa na Wanormani, alianzisha nyingine, alimofariki akiwa mzee sana[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius IX tarehe 3 Mei 1866.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.