Lazaro wa Mnarani
Lazaro wa Mnarani (Manisa, leo nchini Uturuki, 972/981 - Efeso, leo nchini Uturuki, 7 Novemba 1053) alikuwa mmonaki ambaye alipata umaarufu kwa kuishi miaka mingi juu ya minara mbalimbali akilemewa na minyororo na vyuma vingine na kuridhika na mkate na maji tu. Hivyo alijivutia waumini wengi hata akaanzisha monasteri tatu kwenye Mlima Galesios[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Greenfield, Richard P. H., mhr. (2000). The Life of Lazaros of Mt. Galesion: An Eleventh-Century Pillar Saint. Washington, DC: Dumbarton Oaks. ISBN 978-0-88402-272-5.
- Schadler, Peter (2011). "Gregory the Cellarer". In Thomas, David; Mallett, Alex. Christian-Muslim Relations: A Bibliographical History, Volume 3 (1050-1200). Leiden and Boston: BRILL. pp. 160–164.
. https://books.google.com/books?id=6AXXFamR5oAC&pg=PA160.
- Vathi, Theodora (28 November 2003) (in Greek). Encyclopaedia of the Hellenic World, Asia Minor. Foundation of the Hellenic World. http://www.ehw.gr/l.aspx?id=5035. Retrieved 31 July 2017.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |