Ludoviko askofu

(Elekezwa kutoka Ludoviko wa Anjou)

Ludoviko wa Toulouse (Brignoles, Provence, Ufaransa, Februari 1274 - Toulouse 19 Agosti 1297) alikuwa mwana wa mfalme wa Napoli Charles II wa Anjou, lakini alikataa haki ya kumrithi akawa mtawa wa Ndugu Wadogo na askofu wa Kanisa Katoliki.

Mt. Louis de Toulouse, katika mchoro wa Antonio Vivarini (1450), Louvre Museum.
Alivyochorwa na Piero Della Francesca.
Chombo cha fedha cha kutunzia masalia yake (Musée de Cluny).
Mt. Louis de Toulouse akiwa na nembo ya ukoo wake wa kifalme. (Hungarian Illuminated Chronicle).

Alitangazwa na Papa Yohane XXII kuwa mtakatifu tarehe 7 Aprili 1317.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.