Luiji Maria Palazzolo
Luigi Maria Palazzolo (Bergamo, Lombardia, 10 Desemba 1827 – Sanremo, Liguria, 15 Juni 1886) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia Kaskazini.
Alianzisha mashirika ya kitawa ya Masista Fukara Wadogo na Mabradha wa Familia Takatifu yamsaidie kukabili matatizo ya vijana na watoto wa mitaani[1].
Alitangazwa na Papa Yohane XIII kuwa mwenye heri tarehe 19 Machi 1963, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Mei 2022.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/54400
- ↑ Katika Martyrologium Romanum ilikuwa 15 Juni
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |