Switbati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '150px|thumb|Mt. Suitbati alivyochorwa. '''Suitbati''' (pia: '''Suitbert''', '''Suidbert''', '''Suitbertus''', '''Swithbert''', au '''Swi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:30, 23 Februari 2021

Suitbati (pia: Suitbert, Suidbert, Suitbertus, Swithbert, au Swidbert; Northumbria, Uingereza, 647 hivi – Kaiserswerth, karibu na Dusseldorf, Ujerumani, 1 Machi 713) alikuwa mmonaki Mbenedikto maarufu kwa kwenda umisionari pamoja na Wilibrodi.

Mt. Suitbati alivyochorwa.

Mwaka 700 hivi alianzisha monasteri alimofariki.

Alifanya utume huo kama askofu hasa katika Frisia na Westfalia, kati ya Uholanzi na Ujerumani za leo.

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia

Tanbihi

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.