Arcangelo Tadini (Verolanuova, Brescia, 12 Oktoba 1846 - Botticino Sera, 20 Mei 1912) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza kuwa mwenye heri tarehe 3 Oktoba 1999, na Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 26 Aprili 2009.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyoaga dunia[1].

Maisha hariri

Baada ya upadrisho alioupata mwaka 1870 alishughulikia matatizo na haki vya wafanyakazi, na hatimaye alianzisha shirika la Masista Wafanyakazi wa Nyumba Takatifu ya Nazareti ambao wawajibike kwa ajili ya haki katika jamii[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.