Majadiliano ya jamii:Translators without Borders
Tuanzishe sasa jamii kadiri ya wahariri? Mbona yeyote anaweza kubadilisha walichoandika? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:35, 5 Novemba 2014 (UTC)
- Naona sawa kwa kundi hili maana ni mradi na kuna kasoro mbalimbali zinazohitaji kuangaliwa baadaye hivyo jamii ni msaada. Tazama chini! Kipala (majadiliano) 09:04, 8 Aprili 2015 (UTC)
Makala zilizotafsiriwa
haririMakala zifuatazo zimetafsiriwa na wafasiri wa mradi wa afya ambao wengine hawana uzoefu wa wikipedia na hivyo sehemu ya makala hazikuwekwa katika jamii bado wala kupewa viungo vya interwiki.
These articles have been created by translators some of whom have no wikipedia experience and thus part of these articles are not in categories nor have been joined to interlanguage links - thus some are not identifiable. In some cases the language needs attention. All should be joined to redirects showing the English names as well! To be checked!
Makala mengine katika jamii:translators without borders ambazo Si katika orodha husika
haririThese articles are joined to the category "translators without borders" but are not in the reference table for tarnslations done at
https://docs.google.com/spreadsheets/d/1cb80jUe-tObwbTo-o4hh2IpcQHSv1TAJh-8vuniNsCs/edit?pli=1#gid=0
No | Article | Wiki |
---|---|---|
# | en:Autism DOUBLE! | autism +tawahudi |
# | en:Cholera | Kipindupindu |
# | en:Ebola virus disease TRIPLE! | Maradhi ya virusi vya ebola + Ebola + Ebola virus disease |
# | en:fever | Homa |
# | en:fistula | Nasuri |
# | en:Flood | Mafuriko |
# | en:Landslide | Miporomoko ya ardhi |
# | en:Malaria | Malaria |
# | en:Tsunami | Tsunami |
- Am not sure why these are linked? James Heilman, MD (talk · contribs · email)(please leave replies on my talk page) 11:47, 8 Aprili 2015 (UTC)
Kwa kulinganisha: Makala zote za jamii:magonjwapamoja na jamii ndogo chini yake
hariri- Autism
- Bawasiri
- Bolisukari
- Ebola
- Ebola
- Gastroenteritis
- Homa
- Homa ya mafua
- Homa ya manjano C
- Homa ya matumbo
- Homa ya ndengi
- Homa ya Q
- Homa ya uti wa mgongo
- Jeraha la moto
- Jiua
- Jongo
- Kaswende
- Kichocho
- Kifaduro
- Kifua kikuu
- Kiharusi
- Kipindupindu
- Kisonono
- Kisukari
- Kisukari aina ya 2
- Klamidia
- Kunona
- Kutapika
- Maambukizi ya mfumo wa viungo vya mkojo
- Maambukizi ya virusi vya ukosefu wa kinga mwilini
- Madhara ya kuvuta sigara
- Mafua ya kawaida
- Magonjwa ya Kuku
- Malaria
- Maradhi ya zinaa
- Meningitis
- Meninjitisi
- Mmenyuko wa mzio
- Nasuri
- Ndui
- Nimonia
- Saratani
- Saratani ya mapafu
- Shinikizo la juu la damu
- Skizofrenia
- Sklerosisi ya sehemu nyingi
- Tambazi
- Tatizo la Kupepesuka lenye Ukosefu wa Umakinifu
- Udhibiti wa saratani
- Ugonjwa wa Kuhara
- Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofungana
- Ugonjwa wa malale
- Ugonjwa wa mapafu
- Ukimwi
- Ukimwi
- Unene wa kupindukia
- Utapiamlo
- Uvimbe wa koromeo kistreptokokki
- Uziwi
- Virusi ya Polio