Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:53, 7 Mei 2022 (UTC)Reply

Usaidie kusahihisha fomati za makala!

hariri

Habari asante kwa michano yako. Naona unapitilia makala na kuziboresha kwa kuongeza viungo. Unaweza kusaidia zaidi ukisahihisha pia makosa ya fomati. Nimeona kati ya makala ulizohariri kasoro zifuatazo:

  1. Lemma (jina la makala kwenye mwanzo wake) haionyeshwi kwa herufi koze (mfano Tongai Moyo),
  2. maneno ya kwanza ni tofauti na lemma (mfano ulikuwa Muziki wa Reunion, nimesahihisha
  3. makala haina interwiki
  4. tahajia, hasa matumizi ya herufi kubwa na ndogo si sanifu (mfano: Getatchew Mekurya Alizaliwa tarehe - iwe "alizaliwa")
  5. mstari unaanzishwa baada ya nafasi tupu unaoharibu mwonekano , mfano makala Getatchew Mekurya; tena katika makala hii kungiza kichwa mwanzoni mwa makala.

Tutashukuru ukisaidia kuangalia mambo hayo ya fomati na kusahihisha. Itasaidia ukiangalia tena Wikipedia:Mwongozo_(Anzisha_makala). Asante. Kipala (majadiliano) 20:52, 28 Julai 2022 (UTC)Reply

sawasawa nitafanya hivyo Rajabmraja (majadiliano) 23:55, 28 Julai 2022 (UTC)Reply
@Rajabmraja, Habari ! nimefurahia kazi yako ya uwekaji picha hongera. ila unakosea kidogo tu sehemu ambazo zina picha nyingi unaweka katika mpangilio ambao sio mzuri mfano: Bubastis na nyingine.
Ukiona sehemu ina picha nyingi zinazo elezea mazingira ya eneo fulani au kitu fulan unaweza kutengeneza kichwa kidogo cha habari na kukiandika picha na kutumia <gallery>weka picha zako hapa katikati zenye kuanza na (file: au image:)</gallery>
Angalia mfano mzuri hapa Chuo Kikuu cha Ufundi cha Yildiz ~~Amani kwako Hussein m mmbaga (majadiliano) 04:04, 28 Septemba 2022 (UTC)Reply
Sawasawa nitalirekebisha hilo Rajabmraja (majadiliano) 04:10, 28 Septemba 2022 (UTC)Reply
Hongera! kwa kazi nzuri nimefurahi kuona kazi yako nzuri @Rajabmraja Amani kwako sana Hussein m mmbaga (majadiliano) 07:17, 29 Septemba 2022 (UTC)Reply
Amani kwako pia kwa kazi nzuri sana @Hussein m mmbaga nmefurahi pia Rajabmraja (majadiliano) 07:58, 29 Septemba 2022 (UTC)Reply

Kuhusu Vyanzo

hariri

Tazama katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Huduma_ya_Taifa_ya_Vijana_(Zimbabwe) ni mfano wa makala nyingine nyingi ambazo umeziandika ukiweka link za Wikipedia ya Kiingereza kama vyanzo katika Wikipedia ya Kiswahili, aina hii ya vyanzo haitakiwi kutumika, fanyia marekebisho katika makala ulizotumia hiyo njia kabla ya kuendelea na uhariri, kuendelea kutumia njia hiI, kutapelekea account yako kufungiwa,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 11:39, 29 Novemba 2022 (UTC)Reply

Bado unaendelea kuweka link za Wikipedia ya Kiingereza kama Marejeo katika Wikipedia ya Kiswahili, jifunze kwanza namna ya kuweka link sahihi,ndipo uje kuendelea na kuhariri, ukimaliza kujifunza, tuwasiliane ili uweze kuendelea na Uhariri,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 09:42, 26 Februari 2023 (UTC)Reply
Sawasawa idd ninga nmeelewa nafanya mabadiliko naomba unifungulie Rajabmraja (majadiliano) 10:06, 26 Februari 2023 (UTC)Reply
Ndugu, sababu ya kukuzuia kwa mwaka mmoja ni kuendelea kuhariri bila kufuata taratibu. Tazama makala uliyoianzisha kuhusu Mawingu nga'mba. Ukiahidi kujirekebisha, nitakufungulia. Adhabu lengo lake ni kuangamiza, ila kurekebisha. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:25, 20 Julai 2023 (UTC)Reply