Makari wa Pelekete

(Elekezwa kutoka Makari wa Pelecete)

Makari wa Pelekete (Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 750 hivi - Aphousia, leo nchini Uturuki, 18 Agosti 840) alikuwa mmonaki padri, abati wa monasteri wa Pelekete, aliyedhulumiwa sana na makaisari Leo V wa Bizanti[1] na Theofilo wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu[2][3], lakini aliendelea kuongoza kwa mbali wamonaki wengi.

Zinatunzwa barua zake tano kwa Theodoro wa Studion.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[2] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Agosti[4] au 1 Aprili[5][6].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Collection., Dumbarton Oaks Research Library and. Hagiography Database. Dumbarton Oaks Research Library and Collection. uk. 65. OCLC 881921802. 
  2. 2.0 2.1 Orthodox Eastern Church (1998–2008). The Synaxarion: the lives of the saints of the Orthodox Church. Hieromonk Makarios of Simonos Petra, Christopher Hookway, Maria Rule, Joanna Burton, Holy Convent of the Annunciation of Our Lady. Ormylia, Chalkidike, Greece: Holy Convent of the Annunciation of Our Lady. ISBN 960-85603-7-3. OCLC 40530820. 
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/65540
  4. Martyrologium Romanum
  5. Great Synaxaristes: Ὁ Ὅσιος Μακάριος ἡγούμενος τῆς μονῆς Πελεκητῆς. 1 Απριλίου. ΜεΓασ Συναξριστησ.
  6. Venerable Macarius the Abbot of Pelecete. OCA - Feasts and Saints.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.