Theodoro wa Studion

Mt. Theodoro wa Studion katika mozaiki ya karne ya 11, Chios.

Theodoro wa Studion (Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 759[1] – Cape Akritas, Bitinia, 826) alikuwa mmonaki, halafu abati wa monasteri ya Studion mjini .[2]

Alishika nafasi muhimu katika kufufua umonaki na fasihi huko Bizanti.

Kati ya vitabu vyake vingi, barua kuhusu urekebisho wa monasteri ndiyo maandishi ya kwanza kupinga utumwa.[3][4]

Anakumbukwa pia kwa kutetea kwa nguvu picha takatifu, bila kujali kwamba msimamo wake ulimvutia dhuluma kutoka kwa kaisari na patriarki zilizoathiri sana afya yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Novemba au 12 Novemba.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Chisholm 1911, "Theodorus—Theodosia", p. 769.
  2. Browne 1933, p. 76; Chisholm 1911, "Theodorus—Theodosia", p. 769.
  3. Halsall, Paul (March 1996). Medieval Sourcebook: Theodore of Studium: Reform Rules. Fordham University. Iliwekwa mnamo 17 September 2012.
  4. Page 1929, p. 63.

MarejeoEdit

      . https://books.google.com/books?id=Ck8bAAAAYAAJ.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theodoro wa Studion kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.