Makumbusho ya Rabai

Makumbusho ya Rabai ni makumbusho yanayopatikana katika kaunti ya Kilifi, nchini Kenya.[1]

Makumbusho hayo hupatikana katika kanisa la kwanza kujengwa na Waprotestanti nchini Kenya mnamo mwaka 1846, huku kwa asilimia kubwa makumbusho yakionyesha kazi za Ludwig Krapf, ambaye ndiye aliyejenga kanisa hilo pamoja na Johannes Rebmann.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Rabai Museum - Historical Background and Geographical Location". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-04-19. Iliwekwa mnamo 2020-05-03. 
  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Rabai kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.