Margerita wa Cortona

Mt. Margerita akiwa nje ya nafsi yake.

Margerita wa Cortona (Laviano 1247Cortona 22 Februari 1297) alikuwa mwanamke wa Italia aliyefanya toba kali katika Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko baada ya kuishi na mwanamume bila ya ndoa kwa muda wa miaka kumi.

Papa Benedikto XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Mei 1728.

Sikukuu yake ni tarehe 16 Mei.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margerita wa Cortona kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.