Maria Teresa Chiramel

Maria Teresa Chiramel (Puthenchira, huko Kerala, 26 Aprili 1876 - Thrissur, Kerala, 8 Juni 1926) alikuwa bikira wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar nchini India.

Mt. Maria Teresa.
Kaburi la Mt. Maria Teresa.

Tangu utotoni alikuwa akifanya malipizi makali. Baada ya kuishi muda fulani kama mkaapweke na kujaliwa karama za pekee zilizomvutia kwanza dhuluma kutoka kwa askofu wake, hatimaye alimtafuta Yesu Kristo katika watu fukara na waliotengwa na jamii akaanzisha shirika la Masista wa Familia Takatifu kwa ajili yao [1][2][3][4].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 9 Aprili 2000 akatangazwa mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 13 Oktoba 2019[5].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Juni[6]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Blessed Mariam Thresia Mankidiyan". Saints SQPN. 4 Juni 2016. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Mariam Thresia Chiramel Mankidiyan (1876–1926)". Holy See. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "A Timeline of Bl. Mariam Thresia". Bl. Mariam Thresia. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90017
  5. "Pope to canonize Newman and four others on 13 October - Vatican News". www.vaticannews.va. 1 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 17 Oktoba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.