Maria Teresa Ledochowska

Maria Teresa Ledochowska (Loosdorf, Melk, Austria ya Chini, 29 Aprili 1863Roma, Italia, 6 Julai 1922) alikuwa mtawa wa Polandi, mwanzilishi wa shirika la Masista Wamisionari wa Mt. Petro Claver.

Picha yake halisi.

Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 19 Oktoba 1975.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.