Marko wa Yerusalemu

Marko wa Yerusalemu (alifariki 185) alikuwa askofu wa kwanza wa Yerusalemu ambaye kwa asili hakuwa Myahudi[1] kuanzia mwaka 134, wakati ambapo mji huo ulijengwa upya na Waroma baada ya Vita ya tatu ya Kiyahudi kama mji wa Kipagani, hadi kifo chake[2].

Ramani ya Yerusalemu iliyotengenezwa kama mozaiki huko Madaba.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Oktoba[3][4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.