Marolo wa Milano
Marolo wa Milano (alifariki Milano, Italia Kaskazini, 23 Aprili 423) alikuwa askofu wa 14 wa mji huo kuanzia mwaka 408[1] [2][3] [4].
Alitokea Mesopotamia, alihamia kwanza Syria (kabla ya mwaka 380), halafu Roma, alipofanya urafiki na Papa Inosenti I.
Mtu wa elimu, sala na saumu, alisaidia sana watu wakati Italia ilipovamiwa na Wavisigoti[5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Cazzani, Eugenio (1996). Vescovi e arcivescovi di Milano (kwa Kiitaliano). Milano: Massimo. ku. 27–28. ISBN 88-7030-891-X.
- ↑ Ruggeri, Fausto (1991). I Vescovi di Milano (kwa Kiitaliano). Milano: NED. uk. 15. ISBN 88-7023-154-2.
- ↑ Apeciti, Ennio. "San Marolo di Milano". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 25 Sep 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)(Kiitalia) - ↑ Tolfo, Maria Grazia. "L'area sacra di Porta Orientale". Storia di Milano. Iliwekwa mnamo 25 Sep 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)(Kiitalia) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/50570
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |