Maurus wa Pecs, O.S.B. (pia: Mor; 1000 hivi - 1075 hivi) alikuwa mmonaki Mbenedikto mwalimu wa balagha aliyefanywa na mfalme wa kwanza wa Hungaria, Stefano wa Hungaria, kuwa abati (1029 hivi), halafu askofu wa Pecs (1036) hadi kifo chake [1].

Mt. Maurus alivyochorwa.

Ndiye askofu wa kwanza kujulikana aliyezaliwa katika ufalme wa Hungaria.

Ndiye aliyeandika habari za maisha ya Zoeradi na Benedikto.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu[2] ; heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius IX tarehe 22 Julai 1848[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Oktoba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/75040
  2. 2.0 2.1 Diós, István. "Boldog Mór" [Blessed Maurus]. A szentek élete [=Lives of Saints]. Szent István társulat. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-03-25. Iliwekwa mnamo Julai 11, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Berend, Nora; Laszlovszky, József; Szakács, Béla Zsolt (2007). "The kingdom of Hungary". Katika Berend, Nora (mhr.). Christianization and the Rise of Christian Monarchy: Scandinavia, Central Europe and Rus', c.900-1200. Cambridge University Press. ku. 319–368. ISBN 978-0-521-87616-2.
  • Koszta, László (2009). "Szt. Mór (1036-1070/1075 körül) [=St. Maurus (1036-1070/c. 1075)]". Katika Fedeles, Tamás; Sarbak, Gábor; Sümegi, József (whr.). A Pécsi Egyházmegye története I: A középkor évszázadai (1009-1543) [=A History of the Diocese of Pécs, Volume I: Medieval Centuries (1009-1543)] (kwa Kihungaria). Fény Kft. ku. 59–62. ISBN 978-963-88572-0-0.
  • Sümegi, József (2008). "Mór, Pécs szent életű püspöke [=Maurus, the holy bishop of Pécs]". Katika Sümegi, József (mhr.). A Pécsi Egyházmegye ezer éve [=Millennium of the Diocese of Pécs] (kwa Kihungaria). Fény Kft. ku. 26–31. ISBN 978-963-85841-5-1.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.