Huíla
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Huila)
Mkoa wa Huíla ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola. Uko upande wa kusini.
Huíla |
|
Mahali pa Mkoa wa Huíla katika Angola | |
Nchi | Angola |
---|---|
Mji mkuu | Lubango |
Eneo | |
- Jumla | 75,002 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 885.100 |
Una wakazi 885,100 kwenye eneo la km² 75.002. Makao makuu ya mkoa yapo Lubango.
Tazama pia
hariri
Bengo | Benguela | Bié | Cuando Cubango | Cuanza Kaskazini | Cuanza Kusini | Cunene | Huambo | Huíla | Kabinda | Luanda | Lunda Kaskazini | Lunda Kusini | Malanje | Moxico | Namibe | Uíge | Zaire |
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Huíla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |