Momoli wa Noyon (pia: Mommelin, Mummolin, Mummolinus, Momelin, Mommolenus, Mommolinus, Mommolin; Coutances, karne ya 7Noyon, 16 Oktoba 685/686) alikuwa kwa miaka ishirini na sita askofu wa Noyon-Tournai, katika Ufaransa wa leo, baada ya Eliji[1].

Sanamu yake.

Kwanza alikuwa mmonaki wa Kikolumbani huko Luxeuil; halafu alitumwa kumsaidia Audomari kuinjilisha Artois akawa abati wa kwanza wa monasteri mpya.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • (Kifaransa) Gilles Cugnier, Histoire du monastère de Luxeuil à travers ses abbés, 2004-2006, tome 1, pages 74, 93, 187, 189-190, 212, 214, 216, 299-300, édition Guéniot, Langres
  • (Kifaransa) Jean-Luc Dubart,Les saints guérisseurs de Picardie, traditions locales, tomes I, II, III, IV, V, Abeditions, Ath, 1996-2001.

Viungo vya nje

hariri
  • Baring-Gould, Sabine (1897), The Lives Of The Saints, juz. la 12, October, Pt. 2, London: J. C. Nimmo, iliwekwa mnamo 2021-08-15
  • Butler, Alban (1833), The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints, juz. la 2, Coyne, iliwekwa mnamo 2021-08-15
  • "Saint Mummolinus of Noyon", CatholicSaints.info, 16 Oktoba 2013, iliwekwa mnamo 2021-08-15{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • St. Augustine's Abbey, Ramsgate (1921), The Book of saints : a dictionary of servants of God canonized by the Catholic Church, London: A. & C. Black, ltd., iliwekwa mnamo 2021-07-26
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.