Morandi wa Douai (pia: Maurand, Maurant, Mauront, Morand, Maurontus; 634 - 5 Mei 702) alikuwa mmonaki shemasi nchini Ufaransa ambaye alianzisha monasteri ya Kibenedikto ya Breuil, akawa abati wake wa kwanza [1][2][3][4].

Sanamu ya Mt. Morandi.

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, sawa na wazazi wake, Adalbati na Rikitrude, na dada zake wote watatu, Klotsinda, Adalsinda na Eusebia wa Douai, mwenyewe akiwa mtoto wa nne na wa mwisho.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Mei[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Saint of the Day - May 5". St. Patrick Catholic Church. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-04-08. Iliwekwa mnamo November 11, 2018.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Litany from Douai 14th century Archived 2015-03-28 at the Wayback Machine
  3. "Den hellige Maurontus av Douai (634-~701)". Katolsk (kwa Norwegian). Iliwekwa mnamo November 11, 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/52875
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo hariri

  • (Kifaransa) Claude Roussel, La Belle Hélène de Constantinople, Droz, Genève, 1998. ISBN 2-600-00266-9
  • (Kifaransa) Claude Malbranke, Guide de Flandre et Artois mystérieux, page 91-92, Presse Pocket, Paris, 1966.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.