Nabii Obadia
Nabii Obadia (jina la Kiebrania lenye maana ya "Mtumishi wa YHWH) alikuwa nabii wa Israeli ya Kale baada ya Yerusalemu kutekwa na kuteketezwa na Wababuloni (586 KK hivi).

Alitoa utabiri wa mistari 21 tu dhidi ya Edomu ambayo inaunda kitabu cha nne kati ya 12 vya Manabii Wadogo.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 19 Novemba[1][2].
Tazama pia Edit
Tanbihi Edit
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nabii Obadia kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |