Neli gunda
Dume
Dume
Jike
Jike
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Nectariniidae (Ndege walio na mnasaba na chozi)
Jenasi: Chalcomitra
Spishi: C. senegalensis
(Linnaeus, 1766)
Ngazi za chini

Nususpishi 6:

Msambao wa neli gunda
Msambao wa neli gunda


Neli gunda (Nectarinia senegalensis) ni spishi ya ndege ya familia ya Nectariniidae. Anapatikana nchini Afrika Kusini, Angola, Benini, Botswana, Burkinafaso, Burundi, Chadi, Eritrea, Eswatini, Gambia, Ghana, Gine, Ginebisau, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kameruni, Kenya, Kodivaa, Malawi, Mali, Moritania, Msumbiji, Namibia, Nijeri, Nijeria, Rwanda, Senegali, Siera Leoni, Sudani, Tanzania, Togo, Uganda, Uhabeshi, Zambia na Zimbabwe.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Neli gunda kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.