Nikolai Velimirovic
Nikolai Velimirovich (kwa Kiserbokroatia: Николај Велимировић; 4 Januari 1881 – 18 Machi 1956) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa majimbo wa Ohrid na Žiča (1920-1956), mwanateolojia na mhubiri maarufu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Serbia.[1]
Wakati wa vita vikuu vya pili alitekwa na Wajerumani na kupelekwa katika kambi la Dachau.
Baada ya kufunguliwa hakurudi Yugoslavia bali alihamia Marekani mwaka 1946 hadi kifo chake.
Alitangazwa na Kanisa lake kuwa mtakatifu tarehe 24 Mei 2003.
Baadhi ya maandishi yake
hariri- Моје успомене из Боке Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. (1904) (My memories from Boka)
- Französisch-slavische Kämpfe in der Bocca di Cattaro (1910)
- Beyond Sin and Death (1914)
- The New Ideal in Education (1916)
- The Religious Spirit of the Slavs (1916)
- The Spiritual Rebirth of Europe (1917)
- Orations on the Universal Man (1920)
- Молитве на језеру Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. (1922)
- Thoughts on Good and Evil (1923)
- Homilias, volumes I and II (1925)
- Читанка о Светоме краљу Јовану Владимиру Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. ()
- The Prologue from Ohrid Ilihifadhiwa 19 Februari 2008 kwenye Wayback Machine. (1926)
- The Faith of Educated People (1928)
- The War and the Bible (1931)
- The Symbols and Signs (1932)
- The Chinese Martyrs by Saint Nikolai Velimirovich (Little Missionary, 1934 — 1938)
- "Immanuel" (1937)
- Теодул Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. (1942)
- The Faith of the Saints (1949) (an Orthodox Catechism in English)
- The Life of Saint Sava (Zivot Sv. Save, 1951 original Serbian language version)
- Cassiana - the Science on Love (1952)
- The Only Love of Mankind (1958) (posthumously)
- The First Gods Law and the Pyramid of Paradise (1959) (posthumously)
- The Religion of Njegos (?)
- Speeches under the Mount (?)
- Emaniul Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. (?) (Emmanuel)
- Vera svetih Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. (?) (Faith of the holy)
- Indijska pisma Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. (?) (Letters from India)
- Iznad istoka i zapada Ilihifadhiwa 23 Juni 2016 kwenye Wayback Machine. (?) (Above east and west)
- izabrana dela svetog Nikolaja Velimirovića Ilihifadhiwa 30 Desemba 2010 kwenye Wayback Machine. (?) (Selected works of saint Nikolaj Velimirović)
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Commemorated March 5/18 (+1956). "Life of St. Nikolai Velimirovich". Orthodoxinfo.com. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ Repose of St Nicholas of Zhicha. OCA - Lives of the Saints.
- ↑ The Autonomous Orthodox Metropolia of Western Europe and the Americas (ROCOR). St. Hilarion Calendar of Saints for the year of our Lord 2004. St. Hilarion Press (Austin, TX). p.22.
- ↑ "03 May 2017". Eternal Orthodox Church Calendar. Iliwekwa mnamo 27 Januari 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Vyanzo
hariri- Vuković, Sava (1998). History of the Serbian Orthodox Church in America and Canada 1891–1941. Kragujevac: Kalenić.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Byford, J.T. (2004). Canonisation of Bishop Nikolaj Velimirović and the legitimisation of religious anti-Semitism in contemporary Serbian society. East European Perspectives, 6 (3)
- Byford, J.T. (2004). From ‘Traitor’ to ‘Saint’ in Public Memory: The Case of Serbian Bishop Nikolaj Velimirović. Analysis of Current Trends in Antisemitism series (ACTA), No.22.
- Byford, J.T., RFE/RL Report, 18 February 2004, Volume 6, Number 4
- Byford, Jovan (2011). "Bishop Nikolaj Velimirović: "lackey of the Germans" or a "Victim of Fascism"?". Katika Ramet, Sabrina P.; Listhaug, Ola (whr.). Serbia and the Serbs in World War Two. London: Palgrave Macmillan. ku. 128–152. ISBN 978-0-230-27830-1.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Cohen, Philip J. (1996). Serbia's Secret War: Propaganda and the Deceit of History. College Station, Texas: Texas A&M University Press. ISBN 978-0-89096-760-7.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Works by Nikolaj Velimirović katika Project Gutenberg
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |