Niseforo wa Konstantinopoli

Mchoro mdogo wa Nikephoros I akipita juu ya Yohane VII wa Konstantinopoli.

Niseforo I wa Konstantinopoli (kwa Kigiriki: Νικηφόρος Α΄, Nikēphoros I; Konstantinopoli (leo Istanbul nchini Uturuki), 758 hivi – Konstantinopoli, 5 Aprili 828) alikuwa mwandishi wa Kikristo wa Dola la Bizanti na Patriarki wa Konstantinopoli tangu 12 Aprili 806 hadi 13 Machi 815.[1][2]

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Machi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. St. Nicephorus. „Patriarch of Constantinople, 806-815, b. about 758; d. 2 June, 829.”
  2. Paul J. Alexander, The Patriarch Nicephorus of Constantinople. Oxford University Press, 1958.

Viungo vya njeEdit