Nuno Alvares, O.Carm. (Cernache do Bonjardim, 24 Julai 1360 - Lisbon, 1 Aprili 1431) alikuwa mtawala wa maeneo mbalimbali ya Ureno na amirijeshi wa nchi kupigania uhuru hadi ushindi.

Mt. Nuno alivyochorwa mwaka 1554.

Alipofiwa mke wake (1423) alijiunga na jumuia ya Wakarmeli alipoishi kitakatifu hadi kifo chake[1].

Papa Benedikto XV alimtangaza rasmi mwenye heri tarehe 23 Januari 1918, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 26 Aprili 2009[2].Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.