Orodha ya lugha za Afghanistan
Orodha hii inaorodhesha lugha za Afghanistan:
- Kiaimaq
- Kiarabu cha Kitajiki
- Kiashkun
- Kibalochi cha Magharibi
- Kibrahui
- Kidari
- Kidomari
- Kigawar-Bati
- Kigrangali
- Kigujari
- Kihazaragi
- Kiishkashimi
- Kikamviri
- Kikati
- Kikyrgyz
- Kimogholi
- Kimunji
- Kiormuri
- Kipahlavani
- Kiparachi
- Kiparya
- Kipashai ya Kaskazini-Magharibi
- Kipashai ya Kaskazini-Mashariki
- Kipashai ya Kusini-Magharibi
- Kipashai ya Kusini-Mashariki
- Kipashto cha Kaskazini
- Kipashto cha Kusini
- Kiprasuni
- Kisanglechi
- Kisavi
- Kishughni
- Kishumashti
- Kitirahi
- Kitregami
- Kiturkmen
- Kiuzbeki cha Kusini
- Kiwaigali
- Kiwakhi
- Kiwarduji
- Kiwotapuri-Katarqalai