Papa Anastasio III

Papa Anastasio III alikuwa Papa kuanzia Aprili 911 hadi kifo chake mwezi wa Juni 913.

Papa Anastasio III.

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Anastasius.

Alimfuata Papa Sergio III akafuatwa na Papa Lando.

Maandishi yakeEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Anastasio III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.