Papa Sergio III

Papa Sergio III.

Papa Sergio III alikuwa papa kuanzia 29 Januari, 904 hadi kifo chake tarehe 14 Aprili, 911. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Sergius.

Alimfuata Papa Leo V akafuatwa na Papa Anastasio III.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Sergio III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.