Papa Benedikto V
Papa Benedikto V alikuwa Papa kuanzia Mei 964 hadi tarehe 4 Julai 964 au 965[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Leo VIII akafuatwa na Papa Yohane XIII.
Alilazimishwa kujiuzulu na Kaisari Otto I wa Ujerumani aliyempeleka kwenda mji wa Hamburg alipofariki tarehe 4 Julai 966.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |