Papa Yohane XIX

Papa Yohane XIX alikuwa Papa kuanzia mwaka 1024 hadi kifo chake mnamo Oktoba 1032.

Papa Yohane XIX.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Romanus.

Alimfuata Papa Benedikto VIII akafuatwa na Papa Benedikto IX.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XIX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.